KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Friday 28 February 2014

BY FLORA LYIMO ~ UNAWEZA KUTIZAMA THE MBONI SHOW ALIPOKUWA ANA INTERVIEW THE SUPER STAR LIVE DUKANI KWAKE LONDON OXFORD STREET AMBAE NDIYO THE TALK OF MUJINI FLORA LYIMO FASHION POLICE,DESIGNER ,TRADER,PHOTOGRAPHER AND FOR SURE THE TOP BLOGGER WA MAUKWELI TU' MBUTA NANGA!!






 WACHA MOVIE IENDELEEEEEEEEEEEEEEEEE'''MBUTA NANGA'NASEMAJE YOTE''








HABARI YA MUJINI NDIYO HIYOO'' DA'MBONI MASIMBA NA DA'FLORA LYIMO '
Yani hawa mastaa ni nomaaa' Msiwachezee kabisa maana ni wasema Ukweli na wasiokuwa na woga kabisa'Yani ni mpaka kieleweke and I tell you in Tanzania we need Kina Dada/Mama kama hawa hapa pichani na nafikiri mshaona wachache ambao wapo kama hawa ' Na kama na wewe unataka Tanzania yetu isimame kwenye Mistari iliyonyooka kama Mataifa mengine ''Jifunze kufanya kweli ,Upendo ,Umoja yani Tupendane na kuvipenda vya kwetu hasa to support each other '' You know that is what mataifa yale mnayoyamezea mate wanafanya''Tizama UK -London 'ni kwanini kila Mtu anataka kuja UK-London ? Jiulize ni wangapi wamekufa maji na kwenye malori kwa kukosa hewa juu ya kujificha mpaka wafike UK-London '' Yani I can say 'Mungu aziweke Roho zao mahali pema kwani masikini ya Mungu hawakujua UK London ni Mateso makubwa tena hasa pale mtu hata Kizungu hujui na ujuzi wakazi huna'' Yani ni majonzii''Kaeni huko Jamani hata tuliopo huku tunatamani turudi Ila ndiyo hivyo tena Wengine kama Flora Lyimo ndiyo her Second Home Bila kuisahau Nchi yangu Tanzania'' Yani lazima nirudi Home na huwa nakujaga Mara kwa Mara kwani hiyo ni Bahati yangu Mungu alinipa tangu mwaka 1994' nilipokuja UK-London yenyewe 'My dears na hata nikifa leo Jamani hakikisheni mmenipeleka Moshi Kilimanjaro Kwasababu sijaolewa siwezi sema kwa Mtu Fulani maana sisi Wachagga tunapoolewa ndiyo basi ni huko huko ulikoolewa hata ukifa utazikwa huko huko kwa Mmeo alokuowa'au Makaburini kama mnavyo ona Wengi siku izi'' na Msiogope Vifo maana ndiyo hivyo tena tushaambiwa tujiweke tiyari maana hatujui siku wala saa yakuja kwake Bwana wetu Yesu Kristu'na Vifo ni hivyo hivyo'' Hapa siyo my Home'' hapa UK-London nayasaka manoti tu''Ruwa Mangi'' Ok Nyota zangu mpaka hapa ndipo nimefikia Mwisho for today ''kaeni mkao wakumsikiliza Flora Lyimo ndani ya TV's  aka THE MBONI SHOW''
FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG'

No comments:

Post a Comment