KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Tuesday 29 April 2014

BY FLORA LYIMO ~ KARIBU SANA NYUMBANI KWETU MAMA KULA MACHALARI NA MBEGE ,NI RUKSA 'MBUTA NANGA'' MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE LIVE MJINI MOSHI KILIMANJARO LEO''

Mke wa rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa sherehe za uzinduzi wa wiki ya chanjo duniani uliofanyika katika viwanja vya mandela mjini Moshi.
Mke wa rais Mama Salma Kikwete akiwasalimia wananchi waliofika katika sherehe za uzinduzi wa wiki ya chanjo duniani uliofanyika katika viwanja vya mandela mjini Moshi.
Mkurugenzi huduma za Afya toka wizara ya Afya,Dk Neema Rusibamayile akitoa neno la shukrani mara baada ya Mke wa rais,Mama Salma Kikwete kutoa hotuba yake.
Mke wa rais ,Mama Salma Kikwete akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa wiki ya chanjo duniani.
Naibu waziri wa Afya,Kebwe Stephen Kebwe akizungumza wakati wa sherehe za uzinduzi wa wiki ya chanjo duniani uliofanyika katika viwanja vya mandela mjini Moshi.
Baadhi ya washiriki katika uzinduzi huo kutoka Asasi mbalimbali mkoani Kilimanjaro.
Mwakilishi  mkazi wa shirika la Afya Duniani (WHO) Dk Rufaro Chatora akizungumza wakati wa sherehe za uzinduzi wa wiki ya chanjo duniani uliofanyika katika viwanja vya mandela mjini Moshi.Habari Na Dixon Busagaga .
FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG

No comments:

Post a Comment